Mkuu wa chuo cha Afya TUMAINI JIPYA MAFINGA ana huraha ya kuwatangazia kuwa chuo
kimeanza kupokea maombi kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 katika kozi zifuatazo.
1. CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE
2. CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH
Chuo kimesajiliwa kwa namba 144.
Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu Piga simu 0755535301 / 0754509607 / 0754444151



