CHUO CHA MTAKATIFU JOSEPH SHINYANGA INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

Chuo cha MTAKATIFU JOSEPH SHINYANGA CAMPUS ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE)kwa namba ya usajili REG/BTP/076P, Chuo kinatoa mafunzo katika ngazi ya Cheti(Certificate) na stashahada (DIPLOMA)

Katika kozi za: 

  • HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
  • PROCUREMENT AND SUPPLY
  • BUSINESS ADMINISTRATION
  • ACCOUNTANCY
  • ICT
  • JOURNALISM $ MASSCOMUNICATION
  • FULL SECRETARIAL
  • NURSERY TEACHING $ KINDERGATEN
  • RECORDS MANAGEMENT
  • COMMUNITYDEVELOPMENT

Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha NNE Chuo kipo shinyanga mjini na muhula wa masomo utaanza tarehe 10/07/2017.

JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO
1.DOWNLOAD FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA.
2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION)

Kwa masiliana zaidi piga namba zifuatazo 0717583713 / 0788815842 / 0769982572 au tembelea TOVUTI YETU www.stjcs.ac.tz

Wahi sasa nafasi zimebaki chache na muhula wa masomo umekaribia kuanza.














Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items