Katuni aliyochorwa RC Anna Mghwira, Baada ya kuapishwa
byMuungwana Blog 5-
0
Rais John Magufuli akimuapisha Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, akijaza nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo.