Picha 5: Maalimu Seif akifuturu na Wanachama wa CUF leo Juni 5



Katibu Mkuu wa Chama Cha wananchi CUF Maalimu Seif Sharif Ahmadi akiwa kwenye futari ya Pamoja na Wafuasi wa Chama hicho kwenye Ofisi ya Wabunge na Katibu Mkuu huy jijini Dar es Salaam

Rashidi Abdallah Mwenyekiti wa Matawi ya Cuf Dar es Salaam akitetea na Maalimu Seif.



viongozi mbalimbali wa chama hicho wakifuturu


Mwanasheria wa Cuf Nassor, na Kaimu Katibu Bara
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items