PICHA: Mabasi 3 Yamegongana Morogoro

Leo Juni 4, Majira ya Saa Nne na Robo Mjini Morogoro maeneo ya kingolwila magereza  imeripotiwa ajali ya mabasi ya abiria iliyoyahusisha bai la National Express lenye namba za usajili T639Ef na Basi la Rungwe Express lenye namba za usjili  T995DJW na Basi la kampuni ya Adventure.

Kwamujibu wa Shuhuda wa tukio hilo hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria wana majeraha madogo dogo. Muungwana Blog inafanya jitahada za kumtafua Kmanda wa Polisi Mkoani humo kwa taarifa zaidi licha ya kumtafuta mara kadhaa bila majibu ya kuwa simu yake haipatikani.
]
Tazama Picha hapo chini








Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items