Pichaz: Irene Paul ndani ya shela, aolewa kimya kimya

 MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul  anadaiwa kufunga ndoa na mpenzi wake na kufanya sherehe kimya kimya na kuhudhuriwa na watu wachache.

Irene amesema hakupendelea picha za mume wake zionekane kwani hapendelei maisha yake nje ya kazi yafahamike sana.







Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items