VIDEO: Lissu apinga Adhabu ya Mdee na Bulaya


Baada ya Bunge kuwasimamisha  Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya kuhudhuria vikao vyote vya Bunge vinavyoendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti la mwaka  2017/18, Muungwana Blog&Tv imezungumza na Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu ambapo amesema kuwa adhabu iliyotolewa na kiti cha spika haipo katika kanuni za adhabu....

Tazama video Nzima hapo chini, kisha share na Subscribe Muungwana Tv.






Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items