Nyumbani Chelsea yatambulisha Jezi mpya kwa Msima wa Mwaka 2017/2018 byMuungwana Blog 1 -7/01/2017 01:00:00 PM 0 Mabingwa watetesi wa Kombe la ligi Kuu Uengereza Chelsea Wametambulisha Jezi mpya zitazotumiwa na Klabu hiyo kwenye mechi za msimu huu. Jezi hizo ni pamoja na Blue kwa ajili ya michezo ya Nyumbani na Nyeupe kwa ajili ya Michezo ya nje. Facebook Twitter