Picha 5 za Mbunge wa CCM Alivyotaka Kupigana na Wabunge wa CHADEMA Jana Bungeni

 MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya viwanja vya bunge na kunusurika kupigwa na wabunge wa upinzani kutokana na kuwatambia kwamba atahakikisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ambaye yuko kifungoni anaendelea kusota huko.

Wabunge hao wa Chadema  waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo

Hapo chini ni picha za tukio hilo