VIDEO: Magufuli afungwe Breki- Halima Mdee

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema Halima Mdee kwa mwenendo anao kwenda nao Rais Magufuli analipeleka taifa pabaya na kwamba Watanzania wanapswa kumfunga breki kwa kuonesha kutofurahishwa na matendo yake.

Mdee ameyasema hayo leo Julai 3, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika makoa makuu ya chama hicho Jijini Dar es salaam, kuhusu kauli ya Marufuku ya mwanafunzi atakayejifungua hatorudi shuleni aliyoitoa Rais Magufuli hivi karibuni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia