Mwanamke Mmoja Kisiwani Pemba amenaswa baada ya kumtia kiwenye Kiroba kichanga Mtoto cha siku tatu na Kumtupa bondeni.
Bahati njema Mtoto Huyo ameokotwa na wasalia wema akiwa yupo hai na kwamba hadi sasa anaendelea vizuri.
Mwanamke huyo amefahamika.
Tazama Video hii Kisha Share na Usisahau Ku-subribe Muungwana Tv.


