LEO Tarehe 3 Julai kwenye vyumba vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuliendelea kusikilizwa mashauri mawili pamoja na la Uhujumu Uchumi linalowakabili James Rugemalila na Harbinder Singh Sethi, pamoja na la Utakatishaji Fedha linawakabili Rais Wa TFF Malinzi wa Wenzake.
Shauri la Uhujumu uchumu linalowakabili Rugemalila na Harbinder Singh Sethi, yalisikilizwa na Hakimu Mkazi Huruma Shahidi, na linalomkabili Malinzi wa TFF na wenzake yaliendelea kusikilizwa na Hakimu Mkazi Wilbard Mashauri.
Tazama Video Hii Kisha Share na Usisahau Ku-Subscribe Muungwana Tv.
