VIDEO: Wauaji Kibiti sio Majini- Rungwe

Katika mahojiano maalumu ya Muungwana Blog na Aliyekuwa mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma ) katika uchaguzi Mkuu wa mwka 2015, Hshim Rungwe ameitaka serikali kutumia busara zaidi kuliko nguvu katika kumaliza tatizo la mauaji ya watu yanayoendelea mkoani pwani kwa kuwa wanaotekeleza mauaji hayo sio majini ni watu wakawaida.

Mpaka saa zaidi ya watu 35, wakiwamo viongozi na askari wa Jeshi la Polisi, wameshauawa katika Wilaya za Rufiji, Kibiti na Mkuranga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI...

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia