VIDEO: CUF yamjibu Spika wa Bunge, baada ya kusema hamtambui Maalim Seif

Siku moja baada ya Ofisi ya spika wa bunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kutamka haitambui mamlaka ya Maalimu Seif kwasasa na badala yake taarifa walizonazo kutoka kwenye cha CUF ni kmwamba nafasi ya katibu mkuu Maalimu Seif inakaimiwa na Magdalena Sakaya.

Leo August 5, upande wa CUF wa Katibu mkuu Maalim Seif umeibuka na kulizungumzia suala hilo

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items