Mwanasheria kutoka Nigeira,Zeno Mustafa, ameshinda tuzo ya juu ya kazi za misaada ya kibinaadamu kutokana na kazi yake kubwa ya kuwarejesha watoto wa shule waliokumbwa na balaa la uasi wa Boko harama.
Zeno alionekana kung’aa na majaji wa shirika la umoja wa mataifa wa UNHCR baada ya sifa yake kutajwa kuwa pamoja na Boko Haram kukataa elimu ya kimagharibi,yeye akiwa maeneo hayohayo aliendesha shule iliyotoa elimu ya kimagharibi kwa muda wa miaka kumi.
Vurugu hizo za Boko Haram zilsababisha mauaji ya waalimu 600 na kuacha wanafunzi milioni moja wakikosa shule kutokana na kikudi hicho kuharibu miundombinu ya elimu kwa kuchoma moto shule zote zinazotoa elimu ya nchi za magharibi.
Mwanasheria huyo pia anasifa ya kufanya mazungumzo na kikundi hicho,mazungumzo yaliyosaidia kuachiwa wanafunzi wa kike wa Chibok zaidi ya mia moja waliokuwa wakishikiliwa na Boko Harana, hivi sasa amefungua shule ya sekondari yenye jumla ya watoto 100.