Uingereza: Kijana mwenye umri wa miaka 18 akamatwa kufuati shambulizi la London

Shambulizi la kigaidi lililotekelezwa katika kituo cha treni ya kupita chini ya ardhi mjini London  lilisababisha watu  zaidi ya 20 kujeruhiwa.

Shambulizi lilitokea katika kituo hicho na bomu lililotengenezwa kwa mikono.

Kundi la wabamgambo wa Daesh limejinasibu kuhusika na shambulizi.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 18 amaeakamatwwa katika kitongoji cha Douvres baada ya shambulizi lililolenga kituo cha metro cha Parsons Green Kusini-Magharibi mwa jiji la London.
Mpya zaidi Nzee zaidi