Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Chelsea, N’Golo Kante mapema hii leo amefanya mazoezi tayari kukabiliana na Roma katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya hapo kesho.
Kikosi cha The Blues kimekwea pipa jioni ya leo kuelekea nchini Italia kwaajili ya mchezo wao wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi Roma unaotarajiwa kupigwa hapo kesho.
Kante amekosa michezo kadhaa ndani ya klabu yake ya Chelsea tangu alivyopata majeraha akiwa na timu yake ya taifa ya Ufaransa mwanzoni mwa mwezi Oktoba.
Meneja wa Chelsea, Antonio Conte siku ya Jumamosi amesema kiungo huyo angerejea katika kikosi kitakachokabiliana na Roma.
“Natumainia hivyo atakuwa tayari. Nafahamu umuhimu wa mchezaji huyu nahitaji kuwa na uhakika kama yupo tayari naamini tutakuwa nae katika mchezo huu.” Amesema Conte.
Kikosi cha meneja, Antonio Conte kimekwea pipa mchana waleo kuelekea Roma huku kocha huyo na baadhi ya wachezaji wakitarajiwa kupata fursa ya kuzungumza na waandishi wa habari katika dimba Stadio Olimpico.
Kikosi cha Chelsea kimekwea pipa jioni ya leo kuelekea nchini Italia kwaajili ya mchezo wao wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi Roma unaotarajiwa kupigwa hapo kesho huku ikiwa na mchezaji wake N’Golo Kante.