Lukaku ndiye kinara wa mabao wa muda wote Ubelgiji

Romelu Lukaku akiifungia kwa kichwa Ubelgiji bao pekee la ushindi dakika ya 72 ikiilaza Japan 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydelstadion mjini Brugge katika mchezo wa kirafiki na kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu yake ya taifa, akifikisha mabao 31 na kumpiku Bernard Voorhoof aliyefunga mabao 30 kati ya mwaka 1928 na 1940.
Mpya zaidi Nzee zaidi