TUWASAIDIE WATOTO YATIMA HAWA

Kituo cha watoto yatima AL Zam Orphanage Center kilichopo Mbagala kuu Kichem chem ambacho kinalea watoto 45 kinahitaji msaada wa hali na mali ili kuweza kukimu mahitaji ya watoto hayo Wanahitaji zaidi makazi ya kudumu ( kiwanja kipo kinahitaji ujenzi na mahitaji ya  kila siku  ( chakula, mavazi,  malazi na kuna wengine wanasoma wanahitaji vifaa vya shule na vifaa vya Madrasa. kwamaelezo zaidi piga simu 0654152875




Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items