Watu 21 wafariki wamefariki katika ajali ya basi iliotokea katika kitongoji cha Atsbi mkoni Tigray nchini Ethiopia.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na jarida la habari la serikali ENA ni kwamba watu 21 wamefariki miongoni wa abiria 34 walikuwa katika basi hilo wakisafiri.
Basi hilo lilifanya ajali baada ya dereva kupoteza muelekeo na kupinduka.
Kamishna wa Polisi ya usalama barabarani Nrea ameseme kuwa majeruhi wampelekwa hospitali kupewa matibabu.