Watu wanne wafariki katika makabiliano ya silaha California

Watu wanne waripotiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika makabiliano ya silaha karibu na shule ya msingi Tehama Kaskazini mwa jimbo la California.

Taarifa hiyo ilitolewa na na vyanzo vya habari katika jimbo hilo.

Kituo cha afya cha Enloe  kilitoa taarifa iliorushwa na  tovuti ya Action News Now kikifahamisha kuwa watu wanne wamepoteza maisha katika tukio hilo.
Mpya zaidi Nzee zaidi