BREAKING NEWS; Hassanal ajivua uanachama wa Chadema ajiunga na CCM
byMuungwana Blog 5-
0
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Bodi ya wadhamini ambaye pia ni mshauri wa Mameya Dar es salaam Muslim Hassanal amejivua Uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.