Nyumbani Tanzia: Jaji Kisanga afariki Dunia byMuungwana Blog 2 -1/24/2018 10:17:00 AM 0 Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, Thomas Mihayo amethibitisha. R.I.P Jaji Kisanga. Facebook Twitter