Afghanistan: Askari Polisi 6 wauawa katika shambulizi

Askari polisi 6 wauawa katika shambulizi lililotekelezwa  Helmand  na wanamgambo wa Taliban .
Askari 6 wauawa na wanamagmbo wa kundi la kigaidi katika shambulizi Helmand  kusini mwa Afghanistan.

Kundi la wanamgambo wa Taliban limetangaza kuwa askari polisi 15 ndio waliouawa  katika shambulizi hilo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items