Diamond alivyowasili Mahakama ya Kisutu


Msanii wa musiki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amewasili Mahakama ya Kisutu leo. Habari zilizotufikia kutoka Mahakamani hapo zinaeleza kuwa msanii huyo amefika Mahakamani hapo kwenye Mahakama ya watoto.         

Mpya zaidi Nzee zaidi