Mgombea Ubunge, Jimbo la Kinondoni CHADEMA, Salum Mwalimu amefunguka na kuwataja wasanii wa Bongo fleva ambao anawakubali na kuheshimu kazi zake na kusema kwanza anawakubali wasanii wote mpaka wale chipukizi lakini kuna wasanii wanne anawaheshimu.
Salum Mwalimu aliweka wazi hayo alipokuwa akipiga stori na www.eatv.tv na kusema anaheshimu na kuwapenda sana wasanii wote wanaofanya muziki wa harakati, muziki wenye kuamsha hali za watu na kuwahamasisha au kuwafunza juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi.