Hiki ndicho alichokiandika Lema kuhusu Ben Saanane na Lissu



Mbunge wa Arusha Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameweka wazi kuwa kutoonekana kwa Ben Saanane ni kitu kinachouma sana pamoja na Lissu kuwa hospitali.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter lema ameandika “Kutoka kushoto ni Ben Saanane,Mimi Godbless Lema,Tundu Lissu na Wakili Peter Kibatala..Ben hajulikani alipo na Tundu Lissu yuko Hospitali.Inauma sana,”
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items