Watu watano wafariki na wengine 18 wajeruhiwa baada ya bomu kulipuka katika eneo la Mopti nchini Mali.
Gavana wa Mopti Sidi Alassane Toure amesema kuwa huenda na wanamgambo wenye ushirikina na kundi la al Qaida ndio ambao wamehusika na mlipuko huo.
Mashambulizi dhidi ya raia yameongezzeka katika eneo hilo licha ya uwepo wa wanajeshi wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa (MINUSMA).