MATOKEO YA UCHAGUZI SIHA

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo.

Katika matokeo hayo, Dk Mollel  anafuatiwa kwa mbali  na mgombea wa Chadema,  Alvis Mossi   huku wa CUF,  Tumsifuel Mwanri  akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya kura.

Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo.  

Kituo cha Kirua–Kawate  Kata ya Siha, Wilaya ya Siha 

  • Mgombea wa CCM  alipata kura  208, 
  • Alvis wa Chadema akipata kura 42
  • Mwanri  wa CUF akipata kura  10


Katika kituo cha  Lawate namba 2 Kata ya Siha

  • CCM ilipata kura 300  
  • Chadema 21 
  • CUF  0.


Kituo cha Lomakaa, 

  • CCM ilipata kura 190, 
  • Chadema 10  
  • CUF 0


Pia kituo cha Ofisi ya Kijiji Sanya Juu

  • CCM ilipata kura 284
  • Chadema 54  
  • CUF 1.


Kwa upande wa kituo cha Sanya Juu

  • CCM ilipata kura 93
  • Chadema 50
  • CUF 0


huku kituo cha Kaboko Kusini 2

  • CCM 403
  • Chadema 68
  • CUF  0
  • Sau 0


Pia Kituo kingine cha Kaboko B; 

  • CCM 106,
  • CUF 76, 
  • Sau 0 

kituo cha Ofisi ya VEO Merali Juu1;

  • Chadema 33, 
  • CCM 64
  • CUF 0 
  • Sau 0


Ofisi ya VEO Merali Juu2: 

  • Chadema 22 
  • CCM 87


Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo.  

  • Kituo cha Pyarita kata ya Nasai  
  • Mgombea wa CCM alipata kura 194 
  • Alvis wa Chadema akipata kura 44 
  • Mwanri akipata Cuf akipata kura 5.




Endelea kufuatilia matokeo zaidi hapa