VIDEO: ACT Waiwashia Moto Serikali Kuhusu Lissu, Azory

Chama cha ACT-Wazalendo kupitia kwa Katibu wake wa Itikadi, Mawasiliano ya Umma na Uenezi, Ado Shaibu kimeitaka Serikali kutoa majibu juu ya wapi alipo Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Agwanda, watu waliompiga risasi Tundu Lissu kuliko kutoka hadharani na kujipongeza kuwa Tanzania inaongoza kwa utawala bora.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi