Msanii wa Bongo fleva Ally Mohemedi Mtungi maarufu kama Z Anto leo amefunguka na kusema kuwa bado hafikirii kufanya kolabo na Diamond Platnumz na Ali Kiba hata kama wameleta changamoto na alama kubwa kwenye mziki wa bongo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE