Mgombea wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Salum Mwalimu amesema kifo cha aliyekuwa mratibu wa kampeni zake, Richard Tambwe Hizza kimemuachia deni kubwa la kuhakikisha wanashinda uchaguzi huo ili kuweza kutunza Demokrasia na kuleta maisha bora kwa wananchi wa Kinondoni kama ambavyo Marehemu Tambwe alikuwa akihubiri.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
