Utata umeibuka kati ya familia ya Rukia Saidi ambae ni mama mjane mkazi wa Kigamboni jijini Da es salaam na Familia ya Marehemu Mzee Mohamed Mtundu, baba mzazi wa Ally Mohamed Mtundu maarufu kama Z ANTO kwenye eneo la utata tangu mwa 1986 ambapo mgogoro huo umedumu takribani miaka kadhaa sasa huku pande zote mbili wakionyesha nyaraka za kumiliki, hivyo wameipigia Serikali magoti kuingilia kati sakata hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
