Wapalestina 20 wakamatwa na njeshi la Israel

Jeshi la Israel lawakamata wapalestina 20 Ukingo wa Magharibi wakituhumiwa kuhusika  na matendo ya kigaidi dhidi ya Israel.

Jeshi la Israeli limefahamisha kuwa  watu hao walikamatwa  Jumanne majira ya usiku  katika operesheni ilioendeshwa na jeshi la Israel.

Maeneo ya wapalestina hushambuliwa na jeshi la Israel na kuwakamata raia bila ya sababu maalumu.
Mpya zaidi Nzee zaidi