Wema Atinga Mahakama ya Kisutu

Msanii na mwigizaji wa filamu za bongo nchini Tanzania Wema Sepetu amewasili Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu mda huu kwenye kesi inayomkabili ya kutumia madawa ya kulevya na kukutwa misokoto ya bangi nyumbani kwake.

Mpya zaidi Nzee zaidi