Habari
za muda huu mpenzi msomaji wa Muungwana blog, naomba nikurike siku ya leo ili
tuweze kujifunza kwa pamoja magonjwa ambayo watu wengi sana huugua kutokana na
kujamiana.
Kwanza
kabisa kabla sijaorodhesha magonjwa hayo naomba nikuleze ni nini maana ya
magonjwa ya ngono?
Magonjwa
ya ngono ni magonjwa ambayo huenezwa wakati wa tendo la kujamiana. Kwa ufupi ni
magonjwa ambayo uenezwaji wake hutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kwa njia ya
tendo la ngono. Lakini pia naomba utambue ngono ya aina yeyote ile huweza
kueneza magonjwa ya ngono au kwa kimombo huitwa ( sexual Transimution
diseases).
Lakini
ikumbukwe ya kwamba magonjwa yeyote ambayo huenezwa kwa njia hii ya ngono huwa
hayana dalili, bali pindi mtu anapohisi ya kwamba huenda ukawa umeyakwaa
magonjwa haya ni vyema akaenda kituo cha afya kwa ajili ya kufanya vipimo vya
magonjwa hayo.
Lakini
yote tisa, kumi ni kwamba mtu ambaye amepatwa na magonjaa haya ya ngono yupo
hatarini zaidi kupata maambukizi ya Virusi Vya ukimwi.
Yafutayo
ni aina ya magonjwa ya ngono ambayo watu huugua mara kwa mara.
- Kaswende.
- Virusi vya UKIMWI.
- Human Papilloma Virus.
- Klamidia.
- Virusi vya Ini- hepatitis B.
- Genital Herpes.
- Kisonono.
- Trichomonas.
Tags:
Afya
