Mabingwa wa Ligi Kuu Zambia, Zesco United, leo wameicharaza vilivyo klabu ya JKU kutoka visiwani Zanzibar kwa jumla ya mabao 7-0 katika Klabu Bingwa Afrika.
Kipigo kimekuja mara baada ya mechi ya awali kwenda suluhu ya 0-0, mechi ikipigwa katika Uwanja wa Amani, huko Zanzibar.
Katika mchezo huo, Zikiru Adams amecheka na nyavu za JKU mara 4, akifunga kipindi cha kwanza mawili na cha pili mawili.