Hatimae Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amekamilisha hatima ya safari ya Ahmed Albaity mgonjwa ambae amelala kitandani kwa mda wa miaka 10, ambapo ameondaka leo kuelekea nchini China kwa Matibabu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE