VIDEO: Wema Ajiunga Rasmi Wasafi

Msanii wa filamu Wema Sepetu amevunja ukimya leo kwa mara ya kwanza kuzungumzia kuhusika kwake katika kulivunja penzi la Diamond na Zari, aidha Wema amesema kuwa yeye hawezi kufanya hivyo pia kwasasa Diamond anatarajia kuwa bosi wake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAHU KUSUBSCRIBE 



Mpya zaidi Nzee zaidi