Viingilio vya Mechi mechi ya Yanga dhidi ya Township Rollers vyaweka hadharani

Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza viingilio vitakavyotumika katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers kutoka Botswana.

Viiingilio vya mechi hiyo vitakuwa kama ifuatavyo;-

VIP A - 20,000/=
VIP B & C - 10,000/=
Mzunguko - 5,000/=

Mechi hiyo itachezwa Jumanne ya Machi 6 2018 katika uwanja wa taifa, kuanzia saa 10:30 jioni.
Mpya zaidi Nzee zaidi