Vinara wa Ligi Kuu nchini Botswana, Township Rollers FC wametua salama nchini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Yanga.
Rollers wamewasili mchana wa leo wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kuwatoa Al Merrikh kwa mabao 4-2 na kusonga mbele ya michuano hiyo.
Mechi baina yao na Yanga itachezwa Machi 6 2018 majira ya saa 10 jioni katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.