Hili ndio Jibu la Urusi kwa Trump

Urusi imesema kuwa kufuatia matamshi ya rais wa Marekani kuhusu makombora yake kuwa tayari kuwa makombora hayo yalenge magaidi na sio  serikali halali ya Syria.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova  amejibu  matamshi ya rais wa Marekani Donald Trump  kuhusu makombora ya Marekani kuwa tayari kuwa makombora hayo yalenge magaidi na sio  serikali halali ya Syria.

Katika jibu lake, msemaji wa wizara ya mambo ya nje amesema kuwa  makombora hayo ya Marekani  yanaweza kushambulia vidhibiti ya silaha za kemikali Syria.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia