Rais wa Sudani aamuru mahakama kuwaacha huru wafungwa wa kisiasa

Rais wa Sudani Omar eal-Bashir aiamuru mahakama kuwaacha huru wafungwa wote wa kisiasa
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la habari la SUNA nchini Sudani, rais Omar al Bashir ameamuru mahakam nchini humu kuwaacha huru wafungwa wote wa kisiasa na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu waliokamatwa katika maadamano.

Shirika hil la habari limefahamisha kuwa uamuzi huo umechukuliwa kwa lengo la  kufaanikisha mazungumzo na kuweka hali ya utulivu na manai nchini Sudani.

Tangazo hilo limetolewa na Hatim Hasan Bahit  na kusema kuwa wafungwa hao wataachwa huru hivi karibuni.

Watu zaidi ya 80 walikamatwa katika maandamano yaliofanyika nchini Sudani yakikemea kupanda kwa bei za bidhaa mahitaji nchini humo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia