VIDEO: Bongo Movie wahamia Iringa Steve Nyerere, JB, Rich, Wolper kuongoza fursa


"Tumeona mastaa wengi duniani wakiitangaza amani ya nchi ya Tanzania, vilevile kuna watu wanatamani kuwa kama mtu flani lakini hawajapata nafasi ya kuwa hivyo, hii sasa nafasi ni yako usiiachie kuwa kama JB, WOLPER, RICH, JOHARI, Diamond tufanye kazi timiza ndoto yako kwa mara ya kwanza nafasi hii tunawapelekea wana Iringa siku ya Jumamosi..." wasanii Bongo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia