VIDEO: "Sitaki Kaburi langu lifungwe Mnyororo" Waziri Mwijage


Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema kuwa asingependa Kaburi lake lifungwe mnyororo kwa kuingia mikataba kama ilivyokaingia Zambia, hivyo miradi ya kimkakati tusingependa kufanya maamuzi kwahiyo tunaipitia na kuja kuzungumza na nyie.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE  

  
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia