VIDEO: MAKONDA Awapiga Mkwara Wanaume, Watu Maarufu 107 Watajwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wanaume waliotelekeza watoto wao waache kumjaribu uwezo wake, Makonda pia amesema hadi sasa zaidi ya viongozi na watu mashuhuri 107 nchini wametajwa kutelekeza watoto wao katika listi ya wanawake waliofika ofisini kwake hadi sasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi