Kaimu Rais wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa hundi ya milioni 50 na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas.
Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) baada ya kukabidhi hundi ya milioni 50 kwa timu ya Simba leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Tamasha la Simba Day Laipa Mamilioni Simba Kutoka SportPesa.
