VIDEO: Hii ndio kauli ya viongozi wa dini baada ya kukutana na Rais Magufuli


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walioomba kukutana nae na kujitambulisha, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia