VIDEO: Kocha mpya Taifa Stars aahidi makubwa apigwa mkataba, uso kwa uso na Samatta
byMuungwana Blog 5-
0
Kocha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania Emmanuel Amuneke amefunguka kuhusu uzoefu wa soka hapa nchini huku akiahidi kuleta mapinduzi ili kufikia kwenye kiwango bora cha soka.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHU KUSUBSCRIBE