Kocha mkuu wa klabu ya simba Patrick Aussems amedai kuwa kesho ni siku maalumu kwa simba kwasababu itakuwa ni simba day na kutakuwa na mchezo na asante kotoko kwenye kusheherekea siku hiyo ila kwa upande wake itabaki kuwa mechi ya kirafiki ambapo amedai ameomba mechi sita kwaajili ya maandalizi ya tarehe 27 mwezi wa nane
Vilevile kocha ameongelea kuhusiana na majeruhi ambae ni bocco kushindwa kufanya mazoezi kwa siku nane kutokana na majeraha alioyapata na atakuwa anaendelea na matibabu ila kwa wachezaji wengine amedai wako vizuri na wanaendelea na mazoezi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...............USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................
